

BAADA YA KUTOKA KWENYE TUZO UKO NIGERIA DIAMOND AMESEMA YUKO TAYARI KUFANYA KAZI NA MSANII MKUBWA NA TAJIRI BARANI AFRIKA D BANJ KWA SABABU ANAMINI D BANJI TANGIA AJAANZA KUTOA NGOMA ZAKE D BANJ ALIKUWA MTU ANAEMKUBALI SANA NA ALIKUWA ANATAMANI SIKU AJE KUREKODI NAE DIAMOND ANAMSHUKURU MUNGU KWA SABABU YALE ALIO KLUWA ANAYATAMANI KWA MDA MREFU SASA YANAENDA KUTIMIA NA NYIMBO YAO ITAKAMILIKA KABLA YA MWEZ WA SABA NA ITAKUWA ISHA HACHIWA KWA AJIRI YA MASHABIKI ZAKE KUIPATA NA KUFURAHIA KAZI KARI HIYO


CLICK AND READ WHAT DIAMOND SAYS ABOUT D BANJI.....
Reviewed by Kaka Cheedy
on
May 04, 2017
Rating: