diamond platinum alipokuwa kwenye uzinduzi wa perfume ya chibu perfume aliweza taja maeneo ambayo perfume itaweza kupatikana na kwa bei ile ile ilio tangazwa siku ya uzinduzi diamond alienda mbali akazungumzia swala la product inayofuata baada ya perfume akasema kwamba kuna product inakuja ila itakapo kuwa tayari atawajulisha anasema apendi kusema kitu mana kunakushindwa ataki kuwapa watu tension afu mwishoe akawaacha bila kutimiza hamu ya mioyo yao ndo maana akasema inakuja sio muda murefu sana itakapo kuwa tayari tutakutana tena kama hivi tufahamishane ni bidhaa gani