
FANAYA KUSHARE NA WANA NATAKANIPATE MAWAZO YENU MANA NAISI NIMEVAA KILAA AINA YA NGUO NATAMANI SAIVI MASHABIKI ZANGU NDO MUWE MA DESIGNER WANGU NA HIZO PICHA NDO NGUO NIKIVAA NAJISIKIA ANGALAU SAIVI ILA NATAKA MOJA AMBAYO ITAKUWA IMENIPENDEZA KULIKO ZOTE NA NGUO AMBAYO ITAKUWA NA COMMENT NYINGI ZA NDIO NDO ITAKUWA IMESHINDA NA NDO ITAKUWA NGUO MOJAWAPO AMBAYO NITAKUWA NAIVAA SANA MWAKA HUU 2017
A

B

C

D

MY FANS I WISH YOU TO SUGGEST WHICH KIND OF CLOTHES WHEN I WEAR THEM AM LOOKING GOOD
Reviewed by Kaka Cheedy
on
May 03, 2017
Rating: