
baada ya zari kuhusishwa na taarifa za kwamba yeye sahivi amebadilisha dini na amekuwa muislamu ..zari kayakanusha hayo kwa kusema kwamba yeye kama yeye atoweza kubadilisha dini atafanya yote ila dini itakuwa ngumu kubadilisha aliyasema haya pale alipo onekana amevalia mavazi ya kiislamu yani ijabu alisema amevaahayo baada yakutaka tu kuvaa waendane na mumewe sio kwamba amevaa kwa ajili kwamba amebadilisha dini hapana ilikuwa ni dressing code yake alio ipanga kuvaa ijumaa hii.

Africa's Power Couple Diamond Platinum and Zari Hussein in there...
Reviewed by Kaka Cheedy
on
May 05, 2017
Rating: