
diamond platinum kakanusha habari kwamba yeye na mke wake zari wanajiandana na harusi amesema kwamba habari hizo sio za ukweli yale ni mavazi alio yavaa alipokuwa akirekodi video yake mpya ila sio kwamba wana jiandaa na harusi kasema kama kutakuwa na mipango kama hiyo ma fans wake watajurishwa

Zari And Bongo star Diamond Platnumz Tie The Knot
Reviewed by Kaka Cheedy
on
May 05, 2017
Rating: